News & Events

Home / Announcements Board

RECENT NEWS AND DOWNLOADS

📢 DIRISHA LA MAOMBI LIPO WAZI! 🎵 Wahi kujipatia nafasi ya kusoma na kujifunza Taaluma ya Muziki Sanifu katika Chuo cha Biblia na Theolojia Mwika. Jiunge nasi kwa mafunzo bora yatakayokuandaa kwa huduma na taaluma ya muziki wa kanisani. Usikose fursa hii ya kipekee! Wasilisha maombi yako mapema na uanze safari yako ya kufikia ndoto zako katika muziki na huduma. Chuo cha Biblia na Theolojia Mwika – Elimu, Imani na Uumishi. 🎓✨

  • Posted on: 25 Jun 2026

  • Recent News
View here

RECENT POST


No results found!